WE ARE FAMILY

Welcome in in our family

Monday, 13 February 2017

A VISIT TO NTOMA ORPHANAGE

The Ntoma Orphanage was founded in 1953 by the ELCT. It caters for babies and children of ages 0 to 1 and a half It has the capacity of up to 30 babies and has 16 staff. The Rotaract Club of Bukoba delivered donations of Maize flour, Beans, Cooking oil, Soap and tshirts.   ...

Saturday, 3 September 2016

DAWA ZA KULEVYA NA ATHARI ZAKE

Tatizo la madawa ya kulevya limetokea kuwa janga kubwa duniani kote, watu wengi wameathirika na janga hili. jinsia zote wanaume, wanawake, na vilevile rika zote vijana na wazee pia. Hapa tutaongelea aina mbili za madawa ya kulevya yaani Cocaine na Heroin. Cocaine  Hutokana na majani ya mmea uitwao kitaalamuErythroxylum coca bush.  Aina hii ya dawa ya kulevya hutolewa kwa mifumo ifuatayo; Unga ambapo mitaani hujulikana...

Friday, 2 September 2016

UKWELI KUHUSU UGONJWA WA UTI :ATHARI KINGA NA MATIBABU YA UGONJWA WA UTI.

Asilimia kubwa ya Watanzania hawaujui vizuri ugonjwa wa UTI. Kumekwepo na maelezo kutoka kwa watu mbali mbali na wakati mwingine hata kwa wataalamu wa afya kuhusu ugonjwa huu lakini bado watu wengi wanakanganyika na ukweli halisi.Leo nitajaribu kutoa maelezo walau kwa kina ili jamii iujue ugonjwa huu kinagaubaga. Kwanza kabisa kirefu cha cha herufi UTI ni URINARY TRACT INFECTION ikimaanisha maambukizi kwenye njia ya mkojo. Msomaji anapaswa...

Wednesday, 22 June 2016

ROTARACT HANDBOOK:ALL YOU NEED TO KNOW ABOUT ROTARACT

  Dear Rotaractors you can download the rotaract Hand book here to learn more about Rotaract. <<CLICK HERE TO DOWNLOAD>> ...

Wednesday, 25 November 2015

Jinsi ya kujikinga na ugonjwa wa kipindupindu

Kwa kua Ugonjwa wa kipindupindu umekua ukienea kwa kasi sana na kufika katika Manispaa ya mji wetu wa Bukoba.Rotaract club of Bukoba inapenda kukumbushana na jamii kuhusu njia za kujikinga na Ugonjwa huu hatari wa kipindupindu na kuzuia kuenea zaidi kwa ugonjwa huu katika Mji wetu na Tanzania nzima. Kipindupindu ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria aina Vibrio cholera. Ugonjwa huu ni moja ya magonjwa ya nayoiathiri jamii hasa pale unapotokea...

Saturday, 31 October 2015

WHAT THE ROTARY EMBLEM(WHEEL) MEANS

Here is some background on how the logo was developed and what it means. Back in 1905, an engraver and Chicago Rotarian, Montague Bear, designed a simple Rotary wagon wheel, showing movement and dust. It was meant to represent civilization, movement and service work in action. Over time, many Rotary clubs adopted the wheel in one form or another. In 1922 it was decided to create and develop an official Rotary emblem and in 1923 a gear...

Monday, 26 October 2015

HOW WE CElEBRATED THE 2015 WORLD POLIO DAY

It was a busy and funny day to us.We started by the fundraising car wash with the interactors from Josiah Girls high School and Bukoba secondary school.On the preparations of this day the rotary club of Bukoba prepared the Polio essay competition.SO on this day the winners were announced and the awards were given where the first place winner recived 100000TSH and the second winner Received 50,000TSH.  Rotaractors happy to be the part of...